MAONYESHO YA FILAMU ZA KIAFRIKA KESHO
MAONYESHO ya Filamu barani Afrika ambayo yatausisha
Filamu mbali mbali kutoka Afrika na zile za waafrika
waliopo
Nje ya bara la Afrika, zitaonyeshwa katika tamasha
kubwa la
Utamaduni wa mwafrika, ambayo itaanza Burkina Faso
siku ya
Jumamosi wiki hii.
Maonyesho hayo ya Panafrican Film and Television
Festival ya
Ouagadougou[FESPACO] yanayofanyika kila baada ya
miaka 2.
Tunzo kubwa kabisa ni hile inayoenyesha maisha
halisi na upewa
Tunzo ya Yennenga.

0 maoni:
Post a Comment