NBA,
LIL WAYNE HAJAZUILIWA KUTAZAMA MECHI ZA NBA.
Lil Wayne hapo mwanzoni aliwajuza mashabiki wake
kuwa amezuiliwa kutazama
Ligi ya NBA katika viwanja vyote nchini
marekani, hii ni kutokana na msemaji wa Ligi hiyo. Msemaji mkuu
wa ligi ya mpira wa kikapu nchini marekani amesema kuwa hakuna
Ukweli wowote kuwa Weezy alisababisha utata wakati
wa Performance mjini Houston, Mwishoni mwa wiki.
Lil weezy aliwaambia wadau wake kuwa NBA wamemzuia
katika mechi zote za NBA kutokana na
Bifu ya yeye na Miami Heat Organization,


0 maoni:
Post a Comment