TAARIFA KWA VYOMBO
VYA HABARI TANZANIA
YAH; MASHINDANO YA
WAZI TABCA SUPER BOXING LEAGUE TAREHE 30 MARCH 2013 HADI 07 JULY 2013
Chama cha walimu
wa mchezo wa ngumi kwaniaba ya wanandondi,walimu wa michezo wa ngumi,wahamuzi
wa michezo wa ngumi na wapenzi wa ngumi.
Tunaona fahari
kuwafahamisheni ya kwamba kitaendesha michuano ya ligi sehemu mbalimbali
nchini,michuano hiyo itafanyika kila mwisho wa wiki.Wanamichezo wapatao
miambili wanatazamiwa kushiliki michuano hiyo ya kwa ya aina yake.yatashilikisha
wanandondi wa viwaongo vyote,wanaoanza na wazoefu ili kuleta msisimuko.
Vilabu vitakavyo
shiliki ni kama ifuatavyo
Ø Ngome
boxing team
Mpiji sport club
Ø Jkt
boxing team Mbezi mwisho
boxing club
Ø Magereza
boxing team
Ruaha galaxy boxing
Ø Police
boxing team
Pwani hit boxing team
Ø Urafiki
boxing club Msisili
boxing club
Ø Sifa
boxing club
Kawe jounery boxing club
Ø Ndame
boxing ciub
Academy boxing club
Ø Davis corner boxing club
Matumla boxing club
Ø Amana
boxing club
Mabibo boxing club
Ø Mzimuni
boxing club
Mahili moja boxing club
Ø Mpitimbi
boxing club
Kimbilo boxing club
Ø Mavitusi
boxing club
Msakuzi boxing club
Ø Azimio
boxing club Wanda boxing club
Ø Kariakoo
boxing club
Ddc keko boxing club
Ø Ashanty
boxing club
Ngumi jiwe boxing club
Ø Morogoro
town sports
Yombayomba boxing
club
Ø Arusha
boxing team
Ø Mueza
boxing club
Ø Tanga
boys boxing club
Ø Kinondoni
squad boxing club
Jumla za vilabu thelasini na sita
tume viandikia barua ya kushiriki,ni matumaini yetu mtashirikiana nasi katika
kuendeleza na kuimarisha mchezo wa ngumi nchini kupitia vyombo vya habari
Mnadhimu Mkuu TABCA
Yombayomba David
0 maoni:
Post a Comment