YOUNG JEEZY KUDAIWA
Msanii wa miondoko ya HIP HOP nchini Marekan Young
Jeezy,
Inadaiwa kuwa msanii huyo anadaiwa na mjamaa wa
Georgia, kuwa
Mamilioni.
Jeezy alishtakiwa kwa deni la dola 5 milioni mwaka
jana, na jamaa
Aliyejulikanika kwa jina la Ellerbee Demetrius,
ambazo alimkopesha
Jeezy katika michakato ya Albam yake ambazo ni The
Inspiration” na
The Recession ambozo zote zilikwenda katika
Platinum.
Jama anasema kuwa walikuwa wana tokea mwaka 1995,
walikutana
Katika boot camp, wakawa kitu kimoja nakuwa na
kampuni ya
Kurekodi muziki pamoja, pia waliachia baadhi ya
nyimbo, chakushangaza
Jeezy amemkanusha jama na kumuita mpuuzi.

0 maoni:
Post a Comment