ABOU ZEID
KUTHIBITISHWA KIFO CHAKE
Ufaranasa imesema kuwa inaweza kuthibitisha kifo cha Abou Zeid,
Mmoja kati ya makamanda waandamizi wa al Qaeda katika Afrika
Maghalribi.
Inasemekana kuwa aliuawa na wanajeshi wa Ufaransa kaskazini mwa
Mali, mwenzi uliopita , Ofisi ya Raisi wa Ufaransa inasema kuwa imeweza
Kugundua rasmi Abou Zeid.
Wanajeshi wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi wamekuwa wakipigana
Dhidi ya wapiganaji wa kiisilam nchini Mali tokea mwenzi wa januari.

0 maoni:
Post a Comment