MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
RIHANNA
 KUZINGUA KATIKA TAMASHA
 Rihanna ameshindwa kufika katika tamasha la wanafunzi katika muda uliopangwa na kuwafanya zaidi ya wanafunzi 2,500 kumsubili mjini Chicago,katika shule ya Barrington High school.
Rihanna alitakiwa kuonekana katka shule hiyo baada ya ushindi wa Charity cometition, msanii huyo alitakiwa kuoneka kuanzia 1:00 pm, kutokana na
The Chicago Tribune, lakini Rihanna hakufanya hivyo na kutokea kwa muda wa 5:oo pm,.
Rihanna alituma ujumbe kwenye Tweeter wakati akielekea kwenye tamasha hilo mara baada ya kuchelewa kuwa mji wa Chicago Trafic hawafanyi kazi.
Wakati alipofika aliwashukulu wanafunzi wote bila kuwajulisha kilicho mchelewesha katika tamasha hilo,
Wadau wanasema kuwa ni ktokana na ustar wake tu.

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment