TADCA ,IMEWATAKA WADAU WAKE KUTHIBITISHA UWEPO WAO
UONGOZI wa Chama cha Makocha wa Ngumi za Ridhaa Tanzaia (TADCA), umevitaka klabu zitakazoshiriki kwenye mashindano ya wazi ya mchezo huo, kuthibitisha kushiriki kwenye mashindano hayo kabla ya Machi 29 mwaka huu.
Mashindano hayo yatakayofanyika Machi 30 mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam, yanamdhumuni ya kuendeleza na kukuza mchezo huo nchini.
0 maoni:
Post a Comment