TOO
SHORT
AKUTWA
NA MADAWA AINA YA FELON
Too short
amekamatwa siku ya jumatano kwa kukutwa na mada ya kulevya
Polisi wamesema kuwa walimkuta na madaya ya Felony
katika mfuko wenye
Rangi nyeusi na nyeupe.
Too short amefunguliwa kesi ya madawa hayo na polisi
wanasema kuwa walimkuta na kiasi kidogo cha madawa aina ya felony, lakini
kutoka na
Na kumbukumbu ni kwamba msanii huyo hatumii aina ya
madawa hao,
Kutokana na hali hiyo kesi yake imepelekwa katika
ngazi ya jiji, kesi hiyo
Itasikilizwa tena wiki hijayo katika mahakama.

0 maoni:
Post a Comment