MAPOROMOKO
YASABABISHA VIFO INDONESIA
Watu sita wamefariki na wengine 18 hawajulikaniki
walipo baada ya ardhi
Kuporomoka katika kisiwa cha Java nchini Indonesia.
Mamia ya polisi , wanajeshi, na umma wamekuwa
wakichimba magofu
Wakiwatafuta walionusulika, kama ilivyo desturi
nchini humo, mvua
Kubwa ya msimu husababisha maporomoko ya ardhi kila
mwaka.

0 maoni:
Post a Comment