NTAGANDA
NDANI YA MAHAKAMA YA ICC
![]() |
| Bwana Ntaganda akiwa mahakamani [ICC] |
Mshukiwa wa uharifu nchin Congo, bwana Bosco Ntaganda amefikishwa mahakamaa ya
Kimataifa ya makosa ya jinai huko The
Hague na kusema kuwa hana hatia yeyote.
Jaji alimkatiza Ntaganda na kumwambia kuwa
hakutakiwa kujibu lolote mpaka kesi Inayomkabili kuanzwa kusiklizwa rasmi
katika mahaka hiyo.
Ntaganda
anashitakiwa kwa makosa ya mauaji, ubakaji na kuwasajili watoto wadogo Kilazima
katika jeshi ambalo lilipambana katika vita ya mashariki mwa congo.
Hicho ni kikao cha kwanza kwa mbabe huyo tokea
kujisalimisha kwake kwa ubalozi wa Marekani
nchini Rwanda wiki iliyopita siku ya jumatatu.

0 maoni:
Post a Comment