JAY-Z,
KUMVUNJIA
HESHIMA MZEE PAUL ANKA.
Paul Anka ni mwanamuziki mkongwe dunia pia ni
mwandishi wa nyimbo
Katika muda wake wote, mzee huyo alisema kuwa Jay-Z
amemvunjia
Heshima.
Anka alpoulizwa kuusu albam mpya alifunguka kama
ifutavyo kwa kusema kuwa amewashilikisha wasanii kama Vile Willie Nelson, Gloria Estefan na Dolly
Parton
Alimzungumzia sana Jigga kwa kitendo cha kumvunjia
heshima na kuongezea kuwa yeye ni mtu aliyechangia sana mafanikio ya Jigga
lakini kwa kutokuwa na heshima kwa msanii huyo mzee huyo amechukizwa sana.
Wadau wengi wamesema kuwa hakuna wakumvunjia eshima
Anka kutokana na heshima yake katika muziki.

0 maoni:
Post a Comment