WANAJESHI
WADHULUMU WAKIMBIZI SOMALIA
SHIRIKA la kutetea haki za Binadamu Human Rights
Watch, limesema
Kuwa makundi ya yaliyojihamini nchini Somalia
ikiwemo jeshi la serikali
Yamefanya vitendo vya ubakiji, na kuwadhulumu
wakimbizii nchini humo.
Ripoti ya shilika hilo inasema kuwa warinzi wa kambi
hiyo wamekuwa wakihiba
Na kuwazulumu misada inayokuja kwa matumizi ya
wakimbizi nchini humo.
Wanawake wamekuwa wakibakwa na kuzulumiwa misada yao
na watu wanao
Aminika kuwa ni wanajeshi wa serikali na na wengine ni waasi,

0 maoni:
Post a Comment