MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JUSTIN BIEBER,
 KUTUHUMIWA KWA KUENDESHA GARI MWENDO KASI
Justin Bieber, ashutumiwa na majiran zake kwa kuendesha gari kwa
Mwendo wa kasi mtaani, wakati watoto na mbwa wakiwa wako mitaani,
Kutoka na tukio hilo jamaa huyo amefungua mashtaka kwa msanii huyo.
Warinzi wa msanii huyo wanashangazwa na jamaa huyo kutokana na
Kuwa kipindi anachokisema kuwa Justin alifanya fujo kwa kuendesha
Gari mtaani vibaya msanii huyo alikuwa EUROPE katika matamasha.
 Jamaa aliendelea kwa kusema kuwa justin aliufanya mtaa kuwa katika
Hali mbaya kwa sababu watoto walikuwa katika mtaa na yeye alikuwa
Katika mwendo wa kasi sana mtaan hapo.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment