RAIS OBAMA ATUA NCHIN ISRAEL.
Rais Obama amewasili nchini Israel, hii ni mara ya kwanza kwa rais huyo,
Waandamanaji walikusanyika na ulinzi uliimarishwa nchini humo na maeneo
Ya Palestina.
Obama anategemewa kukutana na waziri mkuu wa Benjamin Netanyahu, na
Rais wa Palestina, Mohmoud Abbas wakati wa ziara yake ya siku tatu.
Vita nchin Syria na wsiwasi wa kuhusu nia ya Iran za kinyuklia ni kati ya maswala
Muhinu, wanasema wana habari.

0 maoni:
Post a Comment