NYIMBO MPYA JAUSTIN TIMBERLAKE YAWAMWAGA WATU MACHOZI.
Justin ameachia nyimbo mpya katika vitu vya televisheni, ambayo ni
“Mirrors” nyimbo hii imewafanya watu wengi kumwaga machozi, ili kuitazama nyimbo hii inakubidi uwe na kitamba cha kufutia machozi, hii ni kutokaba
Na wajuzi wa mambo nchini marekani.
Ni nyimbo inayoonesha mapenzi ya kiundani zaidi, mwanzo wa nyimbo inaonesha jamaa jinsi alivyokuwa na udhuni usoni mwake.
0 maoni:
Post a Comment