THE GAME
HAKANUSHA KUTOKUWA NA MAUSIANO NA KHLOE KARDASHIAN
The Game amekanusha uvumi wa kuwa na mausiano ya kimapenzi na
Kardashian,
Picha iliwaonesha the game na kardashian ambaye ni mke wa Lamar
Odom, wakiwa pamoja pamoja katika Runyon Canyon Park, mwishoni mwa mwenzi huu ilikuwa ni katika program ya The game ya 60 Days of fitness”
Game, alisema kuwa yuko kwenye program yake pia kardashian naye anafanya kitu kama hicho, ndiyo maana wanaonekana pamoja.
Pia aliongeza kwa kusema kuwa picha iliyowaonesha wakiwa pamoja ni kutokana na kardashian kuwa ni mmoja wa “60 Days of fitness” .
Game, alisema kuwa kardashian ni kama dada yake hivyo hawezi kuwa mpenzi wake na Lamar ni mshikaji wake wa kitaani. Wote kwa pamoja ni watu wake muhimu sanaa.

0 maoni:
Post a Comment