RIHANNA ,
ATANIUA JAMANI.
Rihanna amekuwa katika hofu kubwa kutokana na yule aliyetaka kumvamia kuwa huru
Jaji alimuambia mwanadada huyo kuwa mbali kwa muda wa miaka mitatu na mtu huyo Ambaye aliyekuwa akitaka kumvamia Rihanna nyumbani kwake mwenzi uliopita.
Rihanna ametakiwa kuwa mbali na jamaa huyo aliyejulikanika kwa jina la Steveland Barrow, Jamaa huyo alikamatwa mara baada ya kuvunja katika nyumba ya Rihanna, taarifa zinasema
Kuwa Barrow aliamini kuwa nyumba hiyo ilikuwa inamilikiwa na Rihanna.
Jaji ametoa huku juu ya Barrow kuwa mbali na Rihanna kwa kipindi cha miaka mitatu Ijayo, kutoka na mahamuzi hayo Rihanna alisema kuwa bado anahofia usalama wake.

0 maoni:
Post a Comment