WANUFAIKA KWA NYIMBO ZA AALIYAH.
Ni miaka 12 tokea kufariki kwa mwanamuzik Aaliyah, laikini kumekuwa na watu na makampuni
Yanayouza nyimbo zake kinyume na sheria, moja kati ya makampuni hayo limefunguriwa mashtaka
Kuhusu ubadhirifu huo.
Kampuni ya Reservoir Media Management imeshindwa kuifunuria mashitaka kampuni ya Craze Production, Craze imekuwa ikiuza nyimbo za Aaliyah kutoka katika Double- platinum albums”
Nyimbo za Aaliyah zimekuwa zikitumika katika zaidi ya mamilioni “ iTunes.

0 maoni:
Post a Comment