WAKENYA KUPIGA KURA YA URAIS
Wakenya wote wamepiga kura ya kumchagua Rais wa taifa hilo,
Upigaji kura huo ulianza mapema asubuhi pamoja na
baadhi ya
Wagombea nao wakiwa katika vituo vya kupigia kura
nyakati za saa 8 na 9
Usiku.
Kutokana na taarifa kutoka tume ya uchaguzi mkuu,
kila mpiga kura alikuwa
Katika foreni hatosimamishwa atakama muda utakuwa
umekwisha bali kwa
Watakao kuja mara baada ya muda wa mwisho kufikia
hawatoruhusiwa kupiga
Kura.

0 maoni:
Post a Comment