HUU NDIO MTO WA MUNGU WENYE MAJI YA MOTO NA MADINI NDANI YAKE
Watanzania wanatakiwa kuzidi kujivunia kutokana na vivutio vilivyopo nchini kama Mto wa Mungu ambao upo katika wilaya ya RUNGWE MKOANI Mbeya.
Mto huu ambao unamadaraja mawili, yaani la asili na lilitongenezwa na wakolono waingereza, una sehemu ndogo ukubwa wa kisima ambao ndani yake kunatoka maji ya moto.
Pamoja na hilo pia katikati yam to huo kuna madini yanayosadikiwa kuwa ya Mercury ambayo Waingereza walianza kuyachimba miaka ya 1960, lakini tulipopata uhuru mwaka 1961, Mwalimu Nyerere aliwafukuza baada ya kugundua wanaiba madini badala ya
|
Bwana Mbele akiwaelezea wanafunzi kuusu daraja hilo la mungu katika kijji cha kiwila. |
|
wanafunzi wa DSJ wakijionea maajabu ya mungu mkoani mbeya kijiji cha Rungwe |
|
wanafuzi amoja na wakufunzi wao wakipiga picha katika mto huo. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment