VICTOR COSTA
ANAWADAI SIMBA KITITA CHA MIL 28.
Mchezaji wa simba Victor Costa, ameishtaki klabu ya simba kwa TFF ,kutompatia
Pesa yake kwa kipindi alichokuwa majerui,.
Shirikisho la soka nchini Tnzania limetoa tamko la kukata fedha za timu ya simba
Katika mechi zake zote mpaka deni likamilike.
Mchezaji huyo alisajilwa kwa teni za miaka miwili akitokea msumbiji, lakini mchezaji
Huyo amekuwa akisumbuliwa na goti kwa muda mrefu bila ya kuchezesha uwanjani.
Hicho ndicho chanzo kikubwa kwa mchezaji huyo kukatishiwa mkataba na wekundu
Wa msimbazi, pia Costa alisema kuwa anaidai simba mil 28, ikiwa ni malimbikizo
Ya mshaara wake kwa kipindi chote alichokuwa msibazi.
Inasemekana kuwa timu hiyo ilikubali kulipa kiasi hicho cha pesa kwa mchezaji huyo
Kila mwenzi kutona na kushindwa kulipa pesa hiyo kwa pamoja.
0 maoni:
Post a Comment