WEKUNDU WA MSIMBAZI KUIPELEKA AZAM FC, MAHAKAMANI.
Wekundu wa msimbazi wanataka kuipeleka timu ya AZAM FC, mahakama kwa
Madai ya kuchafuliwa na Timu hiyo.
Rage alitoa tamko jijini Dodoma alipoudhuria vikao vya Bunge, na alisema kuwa
Timu ya Azam Fc, inatakiwa kulipa faini ya Bil 1.5 wekundu wa msimbazi.
Sababu ni kwa timu ya Azam kuwafungia wazezaji wanne kwa tuhuma za kupokea
Rushwa ambayo ni shil 7, ili wapange matokeo wakati wa mechi ya Azam Fc na kikosi
Cha simba mnamo mwaka jaka jana.
Kauli hiyo imetolewa na Rage mara baada ya taarifa ya TAKUKURU kushindwa
Kuthibitisha tuhuma hizo za kupokea kwa rushwa kwa wachezaji wa Azam, akiwemo
Aggrey Morris, Erasto Nyoni, Deogratius Mushi na said mourad
0 maoni:
Post a Comment