BOMU LA ARUSHA: WSAUDIA WANNE WAKAMATWA.
Raia wanne wa Saudia washikiliwa na Polisi kwa madai ya kuhusikaNa shamburio la Bomu siku ya jumapili katika kanisa Katoliki la Olasit Pembezoni mwa mji wa Arusha.
Mionhoni mwa washukiwa wane ni watanzania na wane wengine ni Kutoka Saudi Arabia, kutoka na taarifa za hapo jana zilioneshe kuwa Watu wa 3 ndiyo waliopoteza maisha lakini kutokana na taarifa kutokaHospitali ni watu 2 tu ndiyo waliopoteza maisha katika mripuko huo.
0 maoni:
Post a Comment