KENYATTA
USO KWA USO NA CAMERON NDANI YA LONDON
RAIS wa Kenya Uhuru Kenya ambaye ni mtuhumiwa katika mahakama ya kimataifa Ya makosa ya jinai, anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu ndani ya London na kukutana na waziri mkuu wa nchi hiyo David Cameron.
Watetezi wa Haki za Binadamu ya nchini Kenya, wamerahani vikali ziara hiyo ya Rais Kenyatta katika nchi za Ulaya, mapema mara baada ya kushinda katika uchaguzi wa kuwania Urais nchini humo mwenzi mach mwaka huu.
Tuhuma za mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC dhidi ya Rais Kenyatta ni kufuatia vurugu zilizotokea katika uchaguzi wa mwaka 2007 ambapo inakadiriwa kuwa takriban watu 1000 waliuawa.
0 maoni:
Post a Comment