FRANCK RIBERY
AAPA KUTOONGEA NA JEROME BOATENG.
Franck amesema na kuaapa kuwa hatoongea tena na na mchezaji mwenzake Jerome, mara baada ya kumwagiwa pombe wakati wakishangilia ubingwa wa Bundesliga.
Franck ambaye ni raia wa Ufaransa mwenye imani ya Dini ya kiisilamu, pia ni swala Tano, alikimbia ili kuepuka tukio hilo lakini Jerome alimkimbilia na kumwagia pombe kama walivyofanya wachezaji wengine wakati wa kushangilia ubingwa wa timu yao ya Bayern Munich.
0 maoni:
Post a Comment