WABUNGE WA KENYA WAPEWA JINA LA NGURUWE
Polisi nchini Kenya wamepambana na wananchi waliozingira Bunge la nchi hiyo kulaani jaribio la wabunge kutaka kujiongezea mishahara yao.
Wanachi hao walikataa kuondoka eneo hilo la Bunge, kutokana na hali hiyo polisi walitumia mabomu ya kutoa machozi na maji ya kuwasha lakini wananchi waligoma kundoka katika viwanja hivyo vya Bunge na kusema mpaka wabunge wapate ujumbe wao.
Pia wananchi hao wamewataka wabunge hao kuapa kuwa hawatowanyanyasa masini kwa kujiongezea mishahara kinyume na sheria.
0 maoni:
Post a Comment