P-FUNK, NILIMKANYA MANGWEA !!!!!!!!
P-Funk majani leo amekuwa akitoa maneno machache
kuhusu kifo cha Mangwea, amesema kuwa msanii huyo alijiingiza katika matumizi
ya madawa ya kulevya ili apunguze mawazo juu ya mambo yaliokuwa yakimzonga, pia P, anadai kuwa alimkanya juu ya
matumizi ya madawa ya kulevya lakini Mangwea alikana kutumia.
Aliongea kwa uchungu na kujilaumu kwa kushindwa
kumtoa msanii huyo katika matumizi ya madawa ya kulevya.
0 maoni:
Post a Comment