SOULJA
BOY ,
AMEKAMATWA
KWA KOSA LA KUGONGA NA KUKIMBIA
Polisi
wamemkama kijana ambaye aligonga na kukimbiaa, kesi hiyo inausisha Gari
analotumia msanii huyo, vyanzo vinasema kuwa msanii huyo hakuwepo katika tukio
ila Gari yake ndiyo iliyotumika katika hajari hiyo.
Kijana huyo aliyegongwa alikuwa amepatwa na majelaha
makubwa, marafiki wa kijana huyo ambao waliona gari hiyo walitoa taarifa kwa
polisi kuwa Gari ya Soulja B, ndiyo iliyomgonga rafiki yao.
Polisi walifuatilia gari hiyo kupitia kamera za
barabarani na kugundua kuwa gari hiyo ilikuwa na majeraha katika bodi yake,
kitu kilichopelekea polisi kuamini kuwa ni kweli gari hiyo itakuwa imeusika.
Polisi wamemkamata Abrahim Mustafa, ndiye
anayeusishwa na kesi hiyo ya kugonga na kukimbia.
Inasemekana polisi wanamshikilia Soulja Boy, kwa mahojiano
zaidi.
0 maoni:
Post a Comment