MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG
JERMAINE DUPRI
 YUKO HATIYANI KUPOTEZA HAKI ZAKE
 Jermaine Dupri, anaweza kupoteza haki ya muziki kutoka kwenye label yake ya muziki, kwa sababu ya kushindwa kulipa mkopo wake.
Dupri, alikopa kiasi cha dola 4.8 milioni kutoka katika Sun Trust Bank tokea mwaka 2010, amefanikiwa kulipa nusu ya deni lake, kwa ssa anadaiwa na bank hiyo kiasi cha dola 2 milioni, kiasi hicho ni kutokana na ongezeko la riba.


Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment