BUSTA RHYMES ANADAIWA .!!!!
Busta
Rhymes, ambaye ni msanii wa Hip Hop nchini Marekani , anadaiwa kiasi cha dola
70,300, na kampuni ya Paramount Recording, kutokana na kutoripia kazi zake kwa
muda mrefu.
Studio hiyo inamdai Rhymes kwa takribani masaa 375
ya kuandaliwa kazi zake kwa kipind cha 2011-2012, hakuwai kulipia ata kidogo,
kutokana na hilo kampuni inamdai ili waweze kupata pesa yao.
0 maoni:
Post a Comment