PAPARAZZI ATEMBEA MAZIWA NJE.
Mwandishi wa Habari nchini marekani amekamatwa na polisi katika jiji la New York, wakati akiwa mitaani huku mwanahabari huyo akiwa maziwa nje.
Kutona na sheria ya New York, kutembea maziwa nje si kosa kisheria, mwanamke huyo mwenye miaka 46, amefunguliwa mashtaka kwa kosa la kutembea maziwa nje katika mitaa yenye mikusanyiko ya watu tofauti.
Mwanamke huyo alikuwa akiwatafuta mastaa ili aweze kuwapiga picha na kuwahoji lakini alijikuta akiambulia kukamatwa na polisi kwa kutembea maziwa nje.
Tatizo ni kwamba sheria ya New York, haikatazi mtu kutembea maziwa nje kwa wanawake pia kifua nje kwa wanaume , kutokana na sheria ya mwaka 1992.
0 maoni:
Post a Comment