Msanii wa Hip Hop amesema kuwa wasanii wengi wa Hip
Hop wamekuwa wakisema kuwa tunzo aliyopata Ney, haijafanyiwa haki kwa kupewa
yeye,
Ney amewajibu kwa kuwaambia kuwa yeye ndiye msanii
pekee anayefanya Hip Hop ya kweli, ameyasema hay oleo alipofanyiwa mahojiana
kwa njia ya simu na Radio moja jijini Dar es salaam.
0 maoni:
Post a Comment