LIPSTICK
ZA RIHANNA ZA ZUA MAJANGA.
Msanii wa muziki nchini marekani ,Rihanna, ambaye
hivi karibuni aliachia mzigo mpya wa Lipstick, lakini mara baada ya kuingia
sokoni zilinunuliwa na kuisha mara moja.
Jambo hilo lilimtia moyo msanii huyo kwa bidhaa yake
ya Riri Woo, ambayo imetengenezwa na kampuni ya MEC, RiRi, alitengeneza keki
yenye mfano wa Lipstick yake, wiki moja mara baada ya uzinduzi wa bidhaa hiyo.
Lipstick hiyo ya mwana dada huyo imeingia dosari
mara baada ya kumdhuru mtumiaji mmoja.
Starkeema Greenidge mwenye umri wa miaka 28, ambeye
alikuwa mmoja kati ya wadau wa Lipstick hiyo amesema kuwa imemletea madhara
mara baada ya kujipaka katika mdomo ilimtoa malengelenge,
Inasemekana dada huyo halishindwa kuendelea na kazi
yake kutokana na maunivu aliyoyapata mara baada ya kutumia Lipstick hiyo.
0 maoni:
Post a Comment