Mshiriki wa kutoka nchini Ghana, Elikem, ndiye
mshiriki wa kwanza kuingia katika fainali za BBA, huku zikiwa zimebaki siku 15,
kufikia tamati katika mashindano hayo yanayoendelea nchini Afrika Kusini.
Elikem, hapo jana alitajwa kuwa yeye ndiye Mkuu wa
Nyumba {HOH} kwa cheo hicho inamaanisha kuwa mshiriki huyo hayupo tena katika
DANGER ZONE, ameshakuwa na uhakika wa
kuingia fainali kwa hizi siku zilizobakia, mara baada ya kupewa uhakika huo Washiriki wenzake walianza kumpa pongezi za kutosha kwa mshiriki huyo. sambamba na aliyekuwa mpenzi wake bila ya kujali utaifa wao.
0 maoni:
Post a Comment