MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

USHER RAYMOND V, AMESHINDA KESI, PIA NI BABA BORA


Usher Raymond V, alifikshwa mahakaman hapo jana na aliyekuwa mke wake wa zamani kwa shtaka la kutaka kusababisha kifo cha mtoto wao , lakini mara baada ya kusikilizwa kwa kesi hiyo Usher, alishinda katika Tuhuma hiyo dhidi ya X Mke wake.
Lakini bila kuonesha tofauti mara baada ya kesi kwisha Msanii huyo alimkumbatia mke wake wa zamani, Tameka, alitumia tukio lilotokea kwa mtoto wake na kubainisha kuwa Usher, hafai kuwa Baba Bora.
Lakini wakili wa Usher, alifunguka na kumuita Usher ni Baba bora, kutokana na mtoto huyo kuwa na baba yake kwa muda mrefu tena kwa usalama zaidi, aliendelea kwa kusema ajali iliyotokea kwa kwa mtoto huyo pia inaweza kutokea kwa mtu yoyote Yule.
 Wakati maongezi yakiendelea Tameka , aliazwa kudondokwa na machozi, kilichomliza zaidi kumbe mtoto huyo anasumbuliwa na matatizo mengi tu ambayo yeye kama mama hakuyajua.
Usher bado yupo Hospitalini, Tameka alilaumu kwanini mtoto bado yuko hospital, usher alisema kuwa nataka mpaka Dk, aseme kuwa mtoto amepona  kwa 100%, na haya yalikuwa maneno ya jaji “ the judge sided with Usher, ruling the current custody order should stay in place ... meaning Usher keeps primary custody, and Tameka gets a little. 
Usher, ni Baba Bora, hii picha ni ya Usher, katika ni Mtoto wake na pembeni ni X Wife, Tameka
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment