MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

KIFAFA CHA CHRIS BROWN KILISABABISHWA NA STRESS


Jana tulitoa taarifa ya kuzimia kwa Chris Brown, inasemekana kuwa msanii huyo alipata kifafa hicho kutokana na mawazo yanayomsonga ya kuandikwa vibaya na vyombo vya Habari Duniani.
Msanii huyo alikataa hapo jana kutibiwa mara baada ya watoa huduma kufika katika Studio aliyokuwa akifanyia kazi zake na kugoma kupelekwa Hospitali, kwa mujibu wa taarifa za mtu wake wa karibu alisema kuwa msanii huyo alikuwa katika hali ya mawazo mengi sambamba na msongo wa kesi zinazo mwandama pia na vyombo vya Habari kumwandika vibaya.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment