Nick Minaj, alikasilishwa na Rafiki yake baada ya
kusikia kuwa Ramson, amesema kuwa amemuandikia nyimbo, baada ya maneno hayo
RANSOM , alifunguka na kusema kuwa “ in his new song "Man Alone" when he
rapped that he was "doing verses" for Nicki before she made it big, Ransom, aliendelea kwa kusema kuwa "I meant that we
did verses TOGETHER. I did verses for her records." "I never wrote no songs for her."
Ransom, alisema kuwa aliangalia Video ya Nick Minaj.
Ambayo aliyokuwa akimtusi rapa huyo wiki hii, alimmtusi f***king, ransom alisema kuwa alichokifanya Nick, ni kitu cha
kumshushia heshima.
Ni kweli kuwa Ransom, alichukizwa sana na matusi ya
Nick, hayo yalisemwa na Ramson kupitia mtandao wa TMZ, walikuwa marafiki wazuri
siku za nyuma.
Swali ni kwamba je wataendelea na urafiki wao au ?
0 maoni:
Post a Comment