Msanii wa muziki nchini Tanzania, Ray C, jana
alifunguka kupitia Kipindi cha Tv, na kusema kuwa aliyemfanya awe mtumiaji wa
madawa ya kulevya ni Mpenzi wake. Msanii huyo alifunguka vizuri jinsi
alivyojiingiza katika kundi la kutumia madawa hayo na kumwathiri na mpaka
anapata matibabu ya kiafya.haya ndiyo maneno yake”I broke up with my ex,
nikasema kwanza nimtoe huyu mtu aliyeniletea balaa hili, Hata mama yangu
mwenyewe aliona mabadiliko, I Love him so much with all my Heart, but then I had
to let him, ilibidi aende cause yeye ndiye aliyeniletea balaa lote, so nikasema
anyway Mungu naomba unisaidie nampenda huyu kijana lakini hayuko sawa not for
me, we separated, 2010, tukaachana, alisema msanii huyo kwa udhuni mkubwa.
Alijitaidi kuiacha hali hiyo mwenyewe lakini haikuwa
kitu raisi kwa wakati huo, kwa msanii huyo, lakini kwa sasa yuko sawa na
anaendelea pouwa na kuwataka vijana wenzake kuachana na madawa hayo kwani
yanaweza kupoteza maisha ya mtu pia kujihalibia maisha ya mtu huyo.
0 maoni:
Post a Comment