Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA, inatalajia
kufungia simu zote ambazo ziko chini ya kiwango, lengo ni kupunguza bidha
zisizo na kiwango ambazo zinauzwa kiholelamamlaka hiyo kwa sasa inazunguuka
nchi nzima kutoa Elimu juu ya kutambua simu mbovu na madhara yake katika
mawasiliano kabla ya zoezi hilo
MWERA AMAZING BLOG
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment