MWNADADA,
Masogange na mdogo wake waliokamatwa huko nchini Afrika Kusini kwa kukutwa na
madawa ya kulevya, taarifa zinazosikika ni kwamba mdada huyo ameachiliwa huru,
hayo ni kufuatia kile alichokiandika mdada huyo katika pag yake ya Facebook na
Instagram.
Page yake ilikuwa kimya kwa muda wote aliokuwa chini
ya ulinzi mkali wa polisi nchini Afrika Kusini, lakini Jana usiku zilionekana
zikitoa Ukimya kwa kuandika maneno ya kumshukuru mungu.


0 maoni:
Post a Comment