
Msanii wa Hip Hop nchini Fid Q, amesema kuwa mashabiki wake wasitegemee kuona video ya wimbo wake mpya aliotoka na Juma Nature, Siri ya Mchezo bali anatoa Documentary dogo ya wimbo huo kwa mashabiki wake.
Fid, amesema katika Documentary hiyo kutakuwa na maprofesa ambao watachambua mambo tofauti, kazi hiyo itakamilika baada ya wiki mbili zijazo, mengi amefuguka kupitia hapa, hebu sikiliza alichokisema.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment