|
Timbaland on mixer |
Timbaland anafanya makubwa na
marafiki zake kipindi hichi cha majanga kwake,
hapo jana alifanya celebrate na kina JayZ, Lenny Kravitz , huko pande za
Paris.
Inasemekana
walitumia mkwanja mnene sana katika kiwanja hicho cha Paris, Timbaland alikuwa
akipiga picha na wadau wake katika party hiyo uku akiwa na totozi waki-show
love.
|
Timbaland, JayZ, Lenny Kravitz |
|
Lenny Kravitz na JayZ |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment