MR FLAVOUR, MAISHA YA NDOA NI BAADAE SANA
Mr Flavour amefunguka katika mahojiano aliyofanya na gazeti la Vanguard la Nigeria kuwa yuko single. Hata hivyo mkali huyo anaogopa kuingia katika maisha ya ndoa hivi sasa kwa sababu zake binafsi.
“Watu wataongea kila wakati na kubadilisha story. Lakini mimi bado niko single kwa sababu ndoa sio kitu nachokipa kipaumbele kwa sasa. Bado nahitaji kukaa kileleni kabla sijawaza kuhusu ndoa. Muda bado. Bado nataka nijikite zaidi katika muziki wangu.” Amesema Mr Flavour.
0 maoni:
Post a Comment