
Taarifa kwamba mwigizaji wa
bongo movie Mzee Small amefariki nilizipata kwenye mida ya saa sita usiku na ni
taarifa ambazo wengi waliziamini kutokana na ukweli kwamba mzee huyu amekua
akiripotiwa kuugua kwa muda mrefu.
Taarifa ni kwamba kuna mzee mfupi aliekua akiishi
Tabata pia na jina lake jingine anaitwa Mzee Small ndio kafariki, sasa watu
ndio wamechanganya wakidhani ni Mzee Small Mchekeshaji.
0 maoni:
Post a Comment