Taarifa ambazo zimetufikia kupitia kituo cha WAPO
Radio FM zinaeleza kwamba kuna bomu limelipuliwa kwenye Kanisa Katoliki la
Mtakatifu Karoli Ruanga huko USA River jijini Arusha, ambapo wanakwaya takriban
6 wamejeruhiwa.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, watuhumiwa ni jeshi la Polisi, na kwamba walirusha kitu kinachosadikiwa kuwa bomu - lililojeruhi 6, ambapo 4 kati yao wameruhusiwa baada ya matibabu kwenye hospitali ya Mission na ya Wilaya ya Arumeru.

0 maoni:
Post a Comment