MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MKE WA 2FACE AJIFUNGUA MTOTO WA PILI.



2face apata mtoto wa saba, wa kike, ni wa pili kwa mkewe Annie
Mwanamuzi wa nchini Nigeria, 2face idibia, amepata motto wa saba, mke wa mwanamuziki huyo mejifungulia huko nchini Marekani katika Hospitali ya Atlanta, meneja wake aliandika ujumbe kupitia akant yake ya twitter kuwa “ Thank God for safe delivery” hayo yalikuwa maneno ya meneja wake.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment