Msanii wa muziki nchini Tanzania, Ray C, amefunguka na
kusema kuwa bora wamnyonge tu huyo Jackie, aliyekamatwa na madawa ya kulevya
uko china, hii kauli inatoka na watu kumtetea Jackie kupitia mtandao wa
Instagram, ndio akaamua kufunguka haya maneno.
“ wewe tulia mi na hasira maana najua walichonifanya
hawa wauzaji, niliingia kwenye madawa na niliwapa kila kitu hawa wauzaji ili
nipate unga, maana tayari nilikuwa nimeshaathirika, hawakunionea huruma pamoja
na aibu yote walichokitaka na pesa ili nipone ndio niheme!!!!! Nilipokuwa na
hela walinithamini il nilpoishiwa walinilaza kwanye mabox, na arosto !!!!!
niliwaomba ata kidogo ili nisiumwe but hawakunielewa ingawa nilishawapa
mamilioni ya hela na nyumba nikauza !!!! sikia tu arosto na omba iwai kukutokea
kwa ndugu yako wala motto wako !!!!!
jinsi mama yangu alivyoangaika na mimi K##anina huyu Jacky afe tu, mbwa
mbwa mkubwa !!!!!!!! na muaji ndugu za watu, wanalala barabarani mpaka
tunaimbwa teja wa mapenzi !!! yani acha kabisa wafe wanyongwe, mafirauni wenye
dhambi kubwa mbele ya mungu !!! katika jina la yesu !!! wanyongwe !!!! kill
them” hayo yalikuwa maneno ya Ray C, mara baada ya Jacky kukamatwa nchini China.
0 maoni:
Post a Comment