WAZIRI WA FEDHA AMEFARIKI DUNIA. R.I.P WILLIAM MGIMWA
Taarifa zilizoifikia mweraamazing.blogspot.com ni kwamba Waziri wa fedha wa Tanzania William Mgimwa amefariki dunia leo hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa siku kadhaa.
0 maoni:
Post a Comment