Msanii kutoka Bongo Movie, Amanda Poshy,
amelishamburia Gazeti, Moja hapa nchini ambalo liliandika kuwa msanii huyo
anajiuza “ AMANDA AJIUZA LIVE” Hiki ndicho kichwa cha Habari cha Gazeti hilo............
"Asanteni sana
Gazeti la K** kwa Habari yenu nzuri kabisa yenye kuipotosha jamii ...lakini
niliwauliza swali moja mkabaki mnajikanyaga.. NILIWAHI KUMUUZIA BOSS WENU AU
MWANDISHI YYT? ...Mluwahi kunikuta barabarani au kati ya wasanii wanaojulikana
mpk bei zao za kujiuza me mnaweza kunitajia ya kwangu? Au mlikosa habari
mkaamua kukulupuka na kunichafua? Haya mwisho wake unakuja wala msijali ila
katika maneno mliyoandika hilo
neno #LIVE
ndio limenimaliza kabisa....haya movie ndio inaanza hapo.” Hayo yalikuwa
maneno ya Amanda.
0 maoni:
Post a Comment