Taarifa za kuanguka kwa lori la mafuta na kuteketea
kwa moto, eneo la Sekenke na kuua watu wane hapo hapo............
Chanzo cha ajali hiyo ni inasemekana ni kufeli kwa
breki wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo,miongoni mwa mashuhuda wa
ajali hiyo Bwana Julius Chacha alisema kuwa Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia
bondeni.
0 maoni:
Post a Comment